Saturday, 6 November 2021

MWENYKITI WA CCM,RAIS SAMIA AFUNGA MAFUNZO YA MAKATIBU WA CCM WILAYA NA MIKOA JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan amefunga mafunzo ya makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa katika ukumbi wa NEC Makao Makuu ya Chama Jijini Dodoma leo Jumamosi tarehe 6 Novemba, 2021 yaliyofanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 3 Novemba, 2021. (PICHA CCM MAKAO MAKUU).


No comments:

Post a Comment