Sunday, 17 October 2021

Rais Samia "Nitajieni Viongozi Ambao Hawawajibiki Tutabadilisha Tulete Mwingine"

 


Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kutoacha kuwasema Viongozi ambao hawawajibiki akisisitiza, "Semeni na tuleteeni kwasababu tunawatuma wawatumikie wananchi"

-
Akizungumza na Wananchi eneo la USA River amesema, "Tunawashushia Viongozi wa kuja kuwatumikia, kuanzia Mkuu wa Mkoa kushuka huko chini. Kama tunaleta Kiongozi hawajibiki, hafanyi kazi zake vizuri tuambieni tutabadilisha tuwaletee mwingine"

No comments:

Post a Comment