Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama akisaini nyaraka za wakati wa Mkutano wa Tume ulioanza leo Jijini Dodoma, kulia ni Kamishna wa Tume Mhe. Balozi (Mst.) John M. Haule, kushoto(aliyesimama ni Bw. Edwin E. Kalisa, Afisa Mwandamizi wa Tume. (Picha na PSC).

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Mhe. Jaji Rufaa (Mst.) Dkt. Steven J. Bwana (kushoto) akizungumza jambo na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew M. Kirama (kulia) , leo Jijini Dodoma kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Tume. (Picha na PSC).


MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA: Kamishna wa Tume Mhe. Balozi (Mst.) John M. Haule (kushoto) akisalimiana na Kamishna wa Tume Mhe. Khadija A. M. Mbarak, leo Jijini Dodoma, kabla ya Mkutano wa Tume ya Utumishi wa Umma ulioanza leo tarehe 25 Oktoba 2021. (Picha na PSC).

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa UmmaJaji Rufaa (Mst.) Mhe. Dkt. Steven J. Bwana (kulia) akisalimiana na Kamishna wa Tume, Mhe. George Yambesi, kabla ya Mkutano wa Tume ulioanza leo Jijini Dodoma, wengine kushoto kwa Kamishna George  Yambesi ni Waheshimiwa  Makamishna wa Tume  Alhaj Yahya Mbila na Mhe. Immaculate Ngwalle. ( Picha na PSC).
Share To:

Post A Comment: