Saturday, 28 August 2021

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE AONGOZA KIKAO KAZI CHA WAKUU WA VITENGO WA JESHI HILO, LEO JIJINI DODOMA

 

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee, leo amefanya Kikao kazi cha Wakuu wa Divisheni, Wakuu wa Vitengo na Sehemu wa Makao Makuu ya Magereza, Msalato Dodoma. Kikao hicho kimejadili Mambo mbalimbali kuhusiana na Uendeshaji wa Jeshi hilo.
Baadhi ya Wakuu wa Divisheni, Wakuu wa Vitengo na Sehemu wa Makao Makuu ya Magereza wakifuatilia kikao kazi hicho kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, Msalato Dodoma.
Wakuu wa Vitengo na Sehemu wa Makao Makuu ya Magereza wakifuatilia kikao kazi hicho kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, Msalato Dodoma. Picha zote na Jeshi la Magereza.

No comments:

Post a Comment