Mkuu wa  Wilaya ya Arumeru Eng.Richard Ruyanga amezindua rasmi club ya jogging ya UVICCM Wilaya ya  Kichama Meru.


Aidha uzinduzi huo umefanyika kwa Mkuu wa Wilaya kuongoza mazoezi ya kukimbiza katika viunga vya Kata ya USA -River.


Mwenyekiti wa UVCCM  Ndg.Faraja Laizer amesema uzinduzi wa club hiyo ni Wito kwa vijana kufanya mazoezi kuimarisha afya zao,pia  ni wito kwa jamii kwa hiyari kupata chanjo ya UVIKO -19 


 Vijana ni Nguvu kazi,pata chanjo ya Uviko-19 kwa hiyari. UVIKO -19 inazuilika

Share To:

Post A Comment: