Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Philemon Sengati na Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Balozi Dkt. Batilda Salha Buriani leo Jumatatu Juni 7,2021 wamekutana na Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga kwa ajili kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya mkoa wa Shinyanga ikiwa ni siku chache zimepita baada ya kuteuliwa kisha kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu kutekeleza majukumu yao mkoani Shinyanga.  Picha na Kadama Malunde & Frank Mshana
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Philemon Sengati akizungumza na Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Juni 7,2021

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Balozi Batilda Salha Buriani akizungumza na Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Juni 7,2021

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Philemon Sengati (mwenye suti ya Bluu katikati) akipiga picha ya pamoja na Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Philemon Sengati (mwenye suti ya Bluu katikati) akipiga picha ya pamoja na Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde
Share To:

msumbanews

Post A Comment: