Tuesday, 30 March 2021

BREAKING NEWS : RAIS SAMIA AMPENDEKEZA DK. PHILIP MPANGO KUWA MAKAMU WA RAIS


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Waziri wa Fedha Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kinachofuata sasa ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuthibitisha jina lake katika kikao cha bunge kinachoendelea muda huu jijini Dodooma.

No comments:

Post a Comment