Saturday, 12 December 2020

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU AKUTANA NA WATUMISHI WA IDARA YA MUUNGANO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Watumishi Idara ya Muungano na Utawala kwenye siku yake ya tatu ya hitimisho la kikao Kazi katika Taasisi zilizo Chini ya Ofisi yake kilichofanyika leo Disemba 12, 2020  Jijini Dodoma. kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment