Sunday, 8 November 2020

Tanzia: Balozi Patrick Chokala Afariki Dunia

 

 

Balozi Patrick Segeja Chokala amefariki dunia Novemba 6, 2020 katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la moyo .

Marehemu alikuwa Balozi wa Moscow tangu Mwaka 2002 mpaka 2005, nchini Urusi Vilevile, alihudumu Belarus, Georgia na Mataifa mengine huru ya Jumuiya ya Madola, Aidha alifanya kazi Redio Tanzania, Wizara ya Mambo ya nje, Mwandishi wa habari wa Rais ikulu, 2002 alikuwa miongoni mwa wagombea Urais mwaka 2005.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho na msiba uko Boko Beach kwa Chokala jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment