Monday, 16 November 2020

MHANDISI RAMSON ATEMBELEA VIWANDA VYA SARUJI MKOA WA TANGA

Mkurugenzi idara ya Maendeleo ya Viwanda, Mhandisi Ramson Mwilangali amefanya ziara ya kutembelea Viwanda vya Saruji Mkoani Tanga.


Katika ziara hiyo yenye lengo la kufuatilia changamoto ya upatikanaji wa saruji Mhandisi Ramson amefanya mazungumzo na Menejimenti ya Kiwanda cha Saruji cha Tanga,Kiwanda cha Maweni Limestone na Kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro.


No comments:

Post a Comment