Monday, 5 October 2020

MAFUNZO YA KILIMO BORA CHA KOROSHO YAANZA RASMI KUTOLEWA MKOA WA SINGIDA

Mtafiti Mwandamizi na Mratibu wa zao la Korosho Tanzania kutoka TARI Naliendele, Dkt. Geradina Mzena akisisitiza jambo wakati akiendesha mafunzo ya nadharia juu ya umuhimu wa kuzingatia tija kwenye uzalishaji wa korosho kwa Maafisa Ugani na Wakulima wa Halmashauri za Singida Manispaa, Singida DC na Ikungi . 

Wakulima na Maafisa Ugani kutoka Halmashauri za Singida Manispaa, Singida DC na Ikungi wakifuatilia mafunzo hayo .
Mafunzo yakiendelea.
Mafunzo yakiendelea.
Wakulima na Maafisa Ugani wakifuatilia mafunzo hayo.
Mtafiti Mwandamizi kutoka Kitengo cha magonjwa ya mikorosho na visumbufu vya wadudu kutoka TARI Naliendele, Dkt .Wilson Nene akifundisha wakulima namna ya utambuzi wa magonjwa hususani ugonjwa wa Ubwiriunga na wadudu waharibifu wa mikorosho.
Mtaalamu wa Agronomia kutoka TARI Naliendele, Kasiga Ngiha akitoa mafunzo ya kitaalamu ya namna bora ya upimaji wa shamba kabla ya kupanda.
Dkt. Geradina Mzena akiwasilisha mada .

Meneja wa Bodi ya Korosho Kanda ya Kati na Magharibi, Ray Mtangi akishiriki mafunzo hayo.


 Maafisa Waandamizi wa Serikali wakifurahia jambo muda mfupi baada ya kushiriki moja ya mafunzo kwa vitendo yanayoendelea kutolewa na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo nchini (TARI) kupitia Kituo chake cha Naliendele Manyoni jana (Kutoka kushoto ni Meneja wa Bodi ya Korosho Kanda ya Kati na Magharibi, Ray Mtangi, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tixon Nzunda, na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao kutoka Wizara ya Kilimo, Nyasebwa Chimagu) 

No comments:

Post a Comment