Tuesday, 14 July 2020

Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo Achukua Fomu Ya Kugombea Ubunge Jimbo la KisaraweWaziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa  ya chama chake ili kimteue kwa ajili ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kisarawe.

No comments:

Post a comment