Blog hii inajihusisha na machapisho ya kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha.
Wednesday, 1 July 2020
TIMU YA WATAALAMU YAENDESHA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UELEWA WADAU KUHUSU HIFADHI YA JAMII.
Mchumi Mkuu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Sarah Mshui akieleza jambo kuhusu masuala ya Hifadhi ya Jamii kwa wadau walipokutana kwa ajili ya mafunzo maalumu ya kujengewa uelewa kuhusu Kinga ya Jamii katika Ukumbi wa Mikutano wa PSSSF, Jijini Dodoma.
Afisa Maendeleo ya Jamii, kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bi. Herieth Mwamba (kushoto) akieleza jambo wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a comment