Sunday, 26 July 2020

Mwenyekiti wa halmashauri aongoza kura za maoni za udiwaniNa Esther Macha , Mbeya

ALIYEKUWA Diwani wa kata ya Chimala na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali  , Francis Mtega amepita kwenye Kura za maoni Kwa kishindo .

Mtega ameibuka mshindi  kwa kupata Kura 166 huku mgombea wa pili akiwa ni Charles Komba aliyepata kura 22  ,Peter Nselu 08  pamoja na Ibrahim Ngailo aliyeambulia kura 05.

Katika mchakato huo wa kura za maoni kulikuwa watia nia 04  na wapiga kura  201 .

No comments:

Post a comment