Saturday, 20 June 2020

NMB YAKABIDHI VIFAA NA VITENDEA KAZI KWA OFISI YA WAZIRI MKUU JIJINI DODOMA.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa zilizotolewa na Benki ya NMB Dodoma, aliyekabidhi vifaa hivyo ni Meneja wa Kanda wa benki hiyo Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002 Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Juni 19, 2002.


No comments:

Post a comment