![]() |
| Sehemu ya kinamama na wanafunzi wa kike wa shule mbalimbali za msingi na Serikali wakiwa kwenye maandamano ya kuazimisha siku ya wanawake ambayo kilele chake kinaazimishwa kesho |
![]() |
| Sehemu ya maandamano hayo kama ilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha. |
![]() |
| Sehemu ya msaada wa Taulo la kike ambazo zimetolewa ikiwa sehemu ya maadhimisho hayo. |
![]() |
| Wanafunzi wakishudia masaada huo wa Taulo za kike ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo ya siku ya wanawake duniani. |
![]() |
| Brass band ikiongoza maandamano ya wanaweke kutoka nchi za Afrika Mashariki na baadae Kongamano kwenye makao makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha |
![]() |
| Meza kuu kwenye Kongamano hilo |
![]() |
| Wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali za Jiji la Arusha wakifuatilia mada mambalimbali zilizotolewa kwenye Kongamano hilo Jana jijini Arusha. |
![]() |
| Wanawake wakifuatilia mada kwenye Kongamano hilo |
![]() |
| Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki EALA akitoa mada kwenye Kongamano hilo |
![]() |
| Meza kuu wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa |
![]() |
| Jaji Mstaafu wa mahakama ya Rufani na Mwenyekiti Mstaafu wa TAWLA Eusebia Munuo akitoa Mada na hotuba kwenye Kongamano hilo. |
![]() |
| Wanawake wakifuatilia mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku yao inaotarajiwa kuazimishwa kesho kote ulimwenguni. |
![]() |
| Tunafuatilia mada kwa makini |















Post A Comment: