Tuesday, 5 November 2019

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera Atimuliwa

Uongozi wa Klabu ya Yanga leo Jumanne Novemba 5,umetangaza rasmi kumfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu hiyo

Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla ambapo amesema Boniface Mkwasa atakaimu kama Kocha Mkuu wa muda.

No comments:

Post a comment