Thursday, 5 September 2019

RAIS DKT JOHN MAGUFULI AMJULIA HALI MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa Apson Mwang'onda anayepatiwa matibabu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment