Tuesday, 3 September 2019

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AMTAMBULISHA MKURUGENZI WA IDARA YA UTAWALA NA RASILIMALI WATU KATIKA KIKAO CHA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO KITUO CHA DAR ES SALAAM


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi (kushoto) akisisitiza jambo kwa watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam wakati alipokuwa akimtambulisha  Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu wa wizara hiyo Bw.Bernad Patrick( kulia).
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw.Bernad Patrick( kulia) akizungumza na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam wakati alipokuwa akimtambulishwa na  Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Susan Mlawi (kushoto) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kituo cha Dar es Salaam wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu wa wizara hiyo Bw.Bernad Patrick (hayupo pichani) wakati alipokuwa anatambulishwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Susan Mlawi (hayupo pichani)  mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw.Bernad Patrick akizungumza na watumishi wa wizara hiyo kituo cha Dar es Salaam wakati alipokuwa akimtambulishwa na  Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Susan Mlawi mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment