Tuesday, 9 July 2019

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BIRAMIDS MISRI

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo, baada ya kutembelea Piramidi, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy, wakati alipotembelea Piramidi mjini Cairo MisriJulai 9.2019. Tokea kushoto ni Waziri wa Kilimo Japhet HasungaWaziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit (katikati) Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy, wakati alipotembelea Piramidi hizo mjini Cairo MisriJulai 9.2019. Kulia ni Waziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitembea nje ya Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo mjini Cairo MisriJulai 9.2019. kulia ni mwenyeji wakeWaziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia bidhaa za wajasiriamali, baada ya kutembelea Piramidi, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitembea nje ya Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo mjini Cairo MisriJulai 9.2019. kulia ni mwenyeji wakeWaziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anashuka kwenye Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a comment