Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akisalimiana na Ivica Dacic, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia.
 
Profesa Kabudi akiwa katika mazungumzo na Ivica Dacic, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia na baadhi ya wajumbe aliombatana nao.
 
Profesa Kabudi akiwa katika mazungumzo na Ivica Dacic, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia.
 
Profesa Kabudi  akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Ivica Dacic, Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Serbia,wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe.
 
Profesa Kabudi  akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina alipokwenda kumpokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Profesa Kabudi  akiwa katika mazungumzo na Mikel Kafando ambaye ni Rais Mstaafu wa Burkinafaso ambaye pia ni mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi
 
Profesa Kabudi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na  Mikel Kafando ambaye nui Rais Mstaafu wa Burkinafaso ambaye pia ni mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi 
 
Profesa Kabudi akipokea hati ya utambulisho ya Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu Sarahawi.
 
Profesa Kabudi akiwa katika mazungumzo na Bwana. Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu Sarahawi.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: