BREAKING: Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi afariki dunia - MSUMBA NEWS BLOG

Wednesday, 1 May 2019

BREAKING: Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi afariki duniaTaarifa rasmi zinaonyesha kuwa Mzee Reginald Abraham Mengi amefariki dunia. Marehemu amefikwa na umauti akiwa huko Dubai (UAE).Mzee Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro.


Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done