Thursday, 11 April 2019

RC Simiyu akabidhi kompyuta 100


Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,  Anthony Mtaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa shule, wanafunzi wa shule ya sekondari Bariadi na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Mawasiliano, Dkt. Jim Yonaz na
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu,  Anthony Mtaka akimkabidhi Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Bw. Jumanne Sagini moja ya kompyuta 100 zilizotolewa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa niaba ya Ofisi ya Mkoa wa Simiyu.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa, Mwl. Kuyunga Jackson moja ya kompyuta 5 zilizotolewa na mkoa kwa shule hiyo kutoka katika kompyuta 100 Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Mkoa wa Simiyu.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka(kulia) akimkabidhi Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Simiyu, Ins. moja ya kompyuta 5 zilizotolewa na mkoa kwa shule hiyo kutoka katika kompyuta 100 Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Mkoa wa Simiyu.

No comments:

Post a comment