Sunday, 7 April 2019

Rais Magufuli achangia milioni 5 katika ujenzi wa KanisaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amechangia Ts. Milioni tano kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia ya Mt. Mathias Mulumba, Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma.

Rais Magufuli ametoa pesa hiyo alipohudhuria ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma jimboni hapo akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli.No comments:

Post a comment