NteghenjwaHosseah, OR-TAMISEMI
WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. Selemani S. Jafo(Mb) amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote Nchini kuhakikisha wanatoa mikopo kwa vikundivyaVijana, Wanawakena Walemavu kutoka katika asilimia kumi ya mapato ya ndani kama ilivyoelekezw akwenye Sheria.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake asubuhi ya Leo Mhe. Jafo amesema Halmashauri zitakazoshindwa kutoa mikopo kwa vikundi hivyo watachukuliwa Hatua kali za kisheria kama ilivyoelekezwa katika Kanuni za utoaji wa  mikopo yavikundi.

AmesemakuwalichayauwepowaSheriainayoelekezasualazima la Utoajiwamikopokwavikundi,utekelezaji wake umekuawakusuasuasanakwabaadhiyaHalmashaurinahadikufikiaMachi 2019 jumlayafedhazilizotolewakwavikundinishilingibilioni 20.7 yashilingibilioni 54.08 zinazopaswakutolewakwamwakawafedha 2018/2019 sawanaasilimia 38.27 yaLengo.
“HivisasahakunakisingiziochochotekatikautekelezajiwasheriahiikwaniSerikaliimeshatoaKanuni, zinazoongozautoajiwamikopohiyonaKanunihizozimetangazwakatikaGazeti la SerikaliToleo Na. 141 la Tarehe 5 April, 2019 kwa GN. Na. 286 la mwaka 2019kwahiyoMkurugenziatakayeshindwakutekelezakwaufanisiatachukuliwahatua” alisemaMhe.Jafo.
Aliongeza kuwa katika kipindi hik ikuna Halmashauri 23 ambazo zimefanya vibaya zaidi kwa kutoa mikopo chini ya asimilimia 20 ya malengo.

Amezitaja Halmashauri hizo kuwa ni Nsimbo, Nyasa, Busega, Kondoa Dc, Namtumbo, Kasulu Dc, Bariadi Dc, Msalala, MbuluTcpamojanaNjombe Dc.
HalmashaurizingineniKongwa Dc, Musoma MC, Sumbawanga Dc, KondoaTc, Uvinza Dc, IlalaMc, Lindi Dc, Mpwapwa Dc, Bahi Dc, Chamwino Dc, Momba Dc, TemekeMc, Mbulu Dc naLindi Mc.

Wakati huo huo Mhe. Jafo alitoa maelekezo kwa Halmashauri zote kuwa zinapaswa kutoa fedha kwa vikundi kwa mujibu wa Sheria na mpaka ifikapo Juni 30,2019 Halmashari ziwe zimetoa mikopo siyo chini yaasilimia 83 yafedhazotezamikopokutokaasilimia 10 yafedhazotezamapatoyandani.

Ameongeza kuwa mpaka ifikapo Julai 20, 2019 Halmashauri zote ziwe zimetoa mikopo yote kwa asilimia 100 ya fedha zote za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2018/2019.

“Mkurugenzi yeyote atakayeshidwa kutoa fedha kwa Vikundi kama ilivyoanishwa hapaswi kumlaumu mtu yeyote kwasababu atachukuliwa hatua kama ilivyoelekezwa kwenye Kanuni za utoaji wa mikopo ya vikundi” amesemaMhe. Jafo.

Ikumbukwekuwa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania lilifanyamarekebishokatikaSheriayaFedhayaSerikalizaMitaaSura Na, 290 katikakifungu 37A ambachokimeelekezanamnayautoajiwamikopokwavikundivyavijana, wanawakenawalemavukutokakatikaasilimia 10 yamapatoyandani.

Mwisho.









Share To:

Post A Comment: