Saturday, 9 March 2019

WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASA AWASILI UWANJA WA NDEGE ARUSHA

Waziri mstaafu wa awamu ya nne Edward Lowasa akiwasili uwanja wa ndege Arusha (Kisongo) tayari kwa Safari ya kuelekea Jimbo la Monduli ambapo anatarajiwa kuzungumza na viongozi Pamoja na wanachama wa chama Cha mapinduzi (CCM)

No comments:

Post a Comment