Thursday, 21 March 2019

Makonda, Mwigulu Nchemba wamlipua Zitto Kabwe

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba mkoani Singida Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam wameamua kumlipua kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Zuber Kabwe kutokana na kile alichoika baada ya Tanzania kutoa msaada wa chakula na dawa kwenda katika mataifa aliokumbwa na janga la kimbunga Idai, ambazo ni Msumbiji, Malawi pamoja na Zimbabwe.
Zitto Kabwe aliandika hivi:-
Baada ya kuandika haya Mkuu wa Mkoa wa Dars Salaam Mh. Paul Makonda na Mbunge wa Iramba Mh. Mwigulu Nchemba wakaandika na kutoa maoni yao kuhusu ushauri wa Zitto na waliandika hivi:-

No comments:

Post a comment