Saturday, 11 August 2018

Update : Diwani Mwingine wa Chadema Monduli Ajiunga na Ccm


Aliyekuwa Diwani wa Monduli (Chadema), Ndg. Issack Joseph Kadogoo

Diwani wa Kata ya Monduli Katika Halmashauri ya Monduli kupitia  Chadema, Ndg. Issack Joseph Kadogoo ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na CCM kwa kueleza  kwamba anamuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli.

No comments:

Post a comment