Diwani wa kata ya Engutoto Katika Jiji la Arusha kupitia (Chadema), Ndg. Amani Emanuel Reward ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na chama chama Mapinduzi CCM kwa maelezo kwamba anamuunga mkono Rais John Magufuli.

Amani  Reward  ni diwani wa saba katika Jiji la Arusha  kujiuzulu kwa kipindi hiki kwa kutoa sababu kuwa anamuunga mkono Rais Magufuli.

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, amethibitisha leo ( August 30 ) kupata taarifa za kujiuzulu kwa Amani  
Share To:

msumbanews

Post A Comment: