Monday, 16 July 2018

Serikali ya CCM yaongeza fedha za Dawa na Vifaa Tiba kwa 98% Jimbo la Nyamagana.


Haya yamebainishwa na Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanslaus Mabula  Akizungumza na Metro Fm katika kipindi cha Pambazuko katika ziara yake kwenye vyombo vya habari kwa siku tatu.

Mhe Mabula amesema kwa miaka miwili serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe Dkt John Pombe Magafuli imeongeza fedha ya Dawa na Vifaa tiba kwa 98% kutokea 42%-47% ambayo ilikuwa Million 42,000,000 hadi kufikia 122,000,000 milioni kila mwezi kwa hospital ya wilaya pamoja na vituo vya Afya na Zanahati zote Nyamagana.

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana🇹🇿

No comments:

Post a Comment