Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi CHADEMA Mhe Mwita Waitara amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi Ccm muda huu kwenye mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Katibu wa Itikadi na uenezi ndugu Humphrey Polepole.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: