WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kupinduka kutoka kijiji cha Kimbo, Wilaya ya Korogwe, Tanga.

.Majeruhi katika ajali hiyo wamepelekwa hospitali ya Korogwe.

Miili ya watoto waliofariki katika ajali hiyo.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: