Saturday, 12 May 2018

TANESCO yatoa taarifa kwa wateja wake wa Ilala

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), linawataarifu wateja wake wa laini ya Ilala na Kurasini kuwa kumetokea hitilafu kwenye laini hiyo baada ya Lori kubwa kugonga nguzo eneo la Puma.
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME LAIN YA ILALA TOL,ILALA KURASINI
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco linawataarifu Wateja wake wanaolishwa na laini ya Ilala Tol na ilala Kurasini kuwa kumetokea hitilafu kwenye laini hiyo baada ya lori kubwa kugonga nguzo eneo la puma
Mafundi wako eneo la tukio kurekebisha hitilafu hii.
Maeneo yanayoathirika ni
Mwakalinga road, duce, keko, mkuu wa wilaya, temeke, changombe yote, jamana printers,quality plaza, viwanda base, tanzania oxygen, azania, jkt, uwanja wa taifa, kurasini yote, uhamiaji, unifreight, twalipo, bandari,transcargo,malawi cargo baraza la maaskofu, dockyard, uhasibu, mtoni,kijichi, Kata za Vijibweni, Tungi, Kigamboni, Mjimwema, Somangila, Kimbiji na Pembamnazi na maeneo jirani
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100
Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:
Mitandao ya kijamii
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/
IMETOLEWA NA:
OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
MAY /12/ 2018

No comments:

Post a Comment