Saturday, 19 May 2018

PICHA5: Lowassa na RC Gambo katika mazishi ya DC Mstaafu Molloimet

 Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu Luteni Mstaafu Lepilal Ole Molloimet aliyefariki dunia Jumapili iliyopita amezikwa jana wilayani Longido Mkoani Arusha

Luten Molloimet amefariki dunia kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, moja ya viongozi waliohudhuria mazishi hayo ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Edward Lowasa pamoja na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.

kuSoma zaidi bonyeza hapa

No comments:

Post a comment