MTALII kutoka nchi ya Canada, Jimmy Pelleilier ambaye ni ulemavu wa miguu, ametimiza ndoto yake ya miaka mingi baada ya kupanda Mlima Kilimanjaro akitumia baiskeli yake yenye magurudumu matatu.

Jimmy alitimiza ndoto yake hiyo jana Jumapili, Mei 20, 2018 na kuonyesha furaha yake kubwa baada ya kuandika historia kwa kile alichokuwa akitamani kwa muda mrefu.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: