Wednesday, 30 May 2018

Mh :Kingu Ampongeza Dr. Bashiru kwa kuteuliwa


Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga na Wilaya ya Kisarawe, Ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Mkoani Singida Mh: Elibariki Kingu amempongeza Dr. Bashiru Ally Ambaye ni mhadhiri wa masuala ya Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)  baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (Ccm) mrithi wa Abdulrahman Kinana aliyestaafu jana. 

"Hongera sana Mwalimu wangu Dr. Bashiru Ally
Moyo wako wa uzalendo na kupenda usawa na haki ukaipe CCM uhai 
Tumuone kinana mpya ndani ya CCM uwe katibu mkuu wa upendo kwa wote" Alisema Kingu


 Habarika sasa kwa kupitia Msumba News Blog kwa kupakua App yetu kwa kubonyeza hapo chini

==>> Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>

No comments:

Post a comment