Monday, 28 May 2018

Mbunge Lema Amjibu Rc Gambo


Anaandika Mh: Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini. 

Hatuwezikukimbia,hatuwezikwendamafichoni,hatunasilahanahatuwezikubebasilaha
kupambanadhidiyenu,ilakuwanauhakikayakuwatunatambuakuwaTaifalinapitakatika
majaribumakubwayaUongozikwasasanajaribuhilitutalivuka.

Wewehunakosakubwakwakauliyakohii,nitawezatukuwashangaawatakaokushangaakwa
waokuendeleakutarajiahekimakutokakwenu.Ninafikiriwatuwasiofahamuwanawezakufikiri
kaulihiiniyabahatimbaya,kaulihiiitakusaidiakulindakaziyakokwamudamrefunaitakupa
heshimakubwakwawatuwaliojuuyako.

Sasaumetangazanifanyiwefujoniwapinawakatiganisijui,chukiyenudhidiyaUbinadamu
italiingizaTaifakatikamaishamagumusana,sijuiwatotowangunawakowataikutajeNchi
watakapoanzakujitegemea.

Kamakunawatuumepangakwaajiliyakunifanyiafujo,wachanikuhakikishiekuwa
hawatafanikiwakwanamnayoyoteilewalahawataonamautiyangukwanininaujuampangowa
MwenyeziMungukatikamaishayangu.

Msingiwanguwamawazokwasasasiouchaguzi2020,nahapandipotunapishanakatikafikra,
wakatiwewenakundilenumnawazauchaguziMimininawazaNchiyangunamaishaya
wajukuuwetuyatakuwajebaadayasisikumalizambiozamaishayetuhapadunianinahaswa
baadayakuonaNchiyetuinaoviongoziwengikamawewekatikautawalawaNchi.

Ubungekwangusiosifanaheshimaisipokuwaniwajibukatikahakiitakayojenganurukwafaida
yakeshoyaNchiyetu.

Hatahivyosikuhiziuchaguzimaamuziyakeyanategemeasanawasimamiziwakurakuliko
maamuziyawapigakura,kwamfumohuumpyawauchaguzisioniniwapimnaweza
kushindwauchaguzi.

Lakini nimuhimuukatambuasikuzotekuwamshaharawadhambini
mauti.

GodblessLema(Mb)

No comments:

Post a comment