Himid Mao aomba kuondoka kwenye Klabu yake - MSUMBA NEWS BLOG

Thursday, 31 May 2018

Himid Mao aomba kuondoka kwenye Klabu yake


Nahodha wa Azam FC, Himid Mao ameuomba uongozi wa klabu hiyo umuachie aondoke.

Hamid ameomba kwenda kucheza nje ya nchi na tayari amesema ameishapata klabu mpya, Kiungo huyo anataka kwenda kucheza nje akianza na majaribio na uongozi wa Azam FC, umekubali.

Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga amesema wanaona ni sahihi kumpa nafasi Himid akajaribu bahati yake.
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done