Saturday, 14 April 2018Wakili Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), akichukua mikoba kutoka kwa Tundu Lissu (Mb).

Katika uchaguzi huo, Dkt Rugemeleza Nshala amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa TLS.

Uongozi wa TLS hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu. https://t.co/86q3pU3JfT
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: