Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo ya ujenzi wa kituo maalumu ya Jeshi la Polisi cha Utalii na
Diplomasia jijini Arusha ambacho kimejengwa na wadau wa utalii kwenye
sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa
kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini
Arusha kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe akiwa na viongozi wengine pamoja na wadau waliosaidia ujenzi wa
kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini
Arusha kwenye sherehe zilizofanyika leo Aprili 7, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa
Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon
Sirro wakifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa nyumba za makazi
ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya kuteketea kwa
moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha leo Aprili 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisaidiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kufunguliwa
rasmi kwa nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa
upya baada ya kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini
Arusha leo Aprili 7, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na baadhi ya familia za askari polisi baada ya kufungua rasmi
nyumba za makazi ya askari ya polisi za Naura zilizojengwa upya baada ya
kuteketea kwa moto kwenye sherehe zilizofanyika jijini Arusha leo
Aprili 7, 2018.
Picha na IKULU
Post A Comment: