Monday, 9 April 2018

Picha 7 : JOYCE KIRIA AJITOKEZA KWA MAKONDA, WALIOTELEKEZWA WAMINIMIKA

Mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia na Mtangazaji wa kipindi cha ‘Wanawake Live’, Joyce Kiria ‘Super Woman’(mwenye hereni pichani) amekuwa mmoja ya mamia ya wanawake waliojitokeza leo, Aprili 09, 2018 kwenye Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupatiwa msaada wa kisheria baada ya kutelekezewa watoto na wazazi wenzao.No comments:

Post a comment