Klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakacho shuka uwanja wa taifa hii leo kucheza na Singida United mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara bila kumtaja kocha wao Mkuu, George Lwandamina kama ilivyozoeleka wakati wanapotoa majina ya wachezaji.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: