Friday, 27 April 2018

Breaking : Mdogo wa Mbunge John Heche Auwawa kwa kuchomwa kisuMbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche.
Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amefiwa na mdogo wake, Suguta Chacha akidaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu usiku wa kuamka leo.

Mbunge John Heche amedhibitisha mdogo wake huyo kuuawa kwa kuchomwa kisu.

Wananchi wakiwa katika kituo cha polisi

Wananchi wa Kata ya Sirari Jimbo la Tarime vijijini amekusanyika katika Kituo cha Polisi cha Sirari baada ya Jeshi la Polisi kutuhumiwa kuwa Saguta aliaga dunia akiwa mikononi mwao.

Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Application yetu ya Msumba News ili upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile Magazeti kuliko ilivyo sasa.

Tumekurahisishia; 

No comments:

Post a comment