kiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Rais John Magufuli kutangaza kuipa hadhi Dodoma kuwa jiji, Mkurugenzi wa jiji hiloGodwin Kunambi ameanzisha mpango wa kuwapatia bima za afya bure wafagiaji wa maeneo yanayozunguka jiji hilo ili kuweza kuwasaidia .

Kunambi kwa kushirikiana na Mkuu wa mkoa huo Dr Bilinith Mahengewametangaza adhabu kwa watu wote watakaokutwa wanatupa uchafu katika maeneo yanayozunguka jiji hilo.

”Mtu akitupa uchafu Dodoma anaandikiwa kulipa na anaandikwa kwenye mtandao jina lake linabaki humo, makosa yakifika matano hadi manne tunatoa majina yao kwenye magazeti”. Amesema Kunambi
Share To:

msumbanews

Post A Comment: