Thursday, 22 March 2018

NGUO ZA WOLPER ZAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE INSTA!


Staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper.
STAA wa filamu za Kibongo asiyepungukiwa mbwembwe kwenye mapenzi, Jacqueline Wolper,  ndiYo staa anayeongoza kutupia picha kali kwenye mtandao wa Instagram, huku mashabiki zake wakiendelea kumpongeza kwa picha hizo.
uchunguzi uliofanywa na mtandao huu umegundua kuwa Wolper ndiye msanii namba moja Tanzania kuweka picha zenye mvuto akiwa kavaa nguo za kuvutia ambazo zinashonwa na yeye mwenyewe kupitia duka lake la House of Styles lilipo jijini Dar. 
Baadhi ya comment zinazotupiwa kwenye picha zake:

  • Maashaallah dada letu uyo umependezaje Allah akujaalie vyema katika maisha yako -Nooralamri782
  • Umependeza sana -Feithalhabiba
  • Umetisha ww ni shidaaaa -jamilahamis29
  • Ako kagauni nimekapenda kametulia 😘😘😘 – shery_waukwee
  • Umetisha mbaya….yahani dah ww ni mkali, Slt -isihakaadam
  • Unadamshika kila siku wolper wangu 😘 -malkia_wa_upendo

  
  • endo

  
 
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: