Tuesday, 13 February 2018

Rc Mnyeti Nipo tayari kupokea simu ya diwani wa ccm usiku wa manane


Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amesema yupo tayari kupokea simu ya Diwani wa chama cha Mapinduzi ( Ccm ) hata akipigiwa usiku wa manane ili aweze kumpa msaada, lakini siyo kwa madiwani wa vyama vya upinzani na kuwataka wahamie CCM ili nao wasikilizwe.
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: