Picha :Mtulia Akipiga kura


Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maulid Mtulia, amepiga kura asubuhi hii ya Feb. 17, 2018 katika kituo cha Friends Corner  Kata ya Ndugumbi jijini Dar es Salaam
Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: