Monday, 12 February 2018

Breaking News : Diwani wa Chadema Haydarer mbulu Ajiuzulu na kujiunga CcmDiwani wa kata ya Haydarer Halmashauri ya Mbulu Bwana  Justine Masuja kutoka Chadema amekata Shauri na Kujiunga na Chama Cha Mapinduzi  CCM Akimuunga Mkono Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli  Kwa kazi Nzuri ya Kuijenga Tanzania Mpya

#MpendeAdui #AduiFursa #WakatiWetu

Source : Msumbanews.co.tz

No comments:

Post a comment