Na Mwandishi Wetu.
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu kuzinduliwa kwa kampeni ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Bibi Frola Willison Rutabingwa ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO "WAGIFTISHE GIFT JUU YA GIFT" baada ya kununuliwa simu katika duka la Tigo.
Akielezea furaha yake baada ya kukabidhiwa pikipiki mshindi huyo ameishukuru Tigo kwa kuwajali wateja wake na kuamua kurudisha kwa wateja kupitia zawadi.
"Nilinunuliwa simu ya Shilingi elfu 89 katika duka la Tigo na Mume wangu kipenzi hatimae baada ya muda Nilipigiwa simu na Tigo kuwa nimeshinda pikipiki nawashukuru Tigo mmesongesha maisha yangu lakini pia namshukuru Mume wangu kwa upendo wake". Alisema Bi. Frola Mshindi wa Pikipiki.
Post A Comment: