Friday, 5 November 2021

PICHA 10 : MACHINGA MBEZI LUIS WAKIHAMISHA VIBANDA VYAO

 Wafanyabiasahara wa eneo la Mbezi Luis jiji la Dar es Salaam wakihamisha vibanda vyao kutii agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla la kuondoa vibanda kandokando ya barabara kama wanavyoonekana pichani.Kazi ya kusafisha endeo lilikuwa na vibanda vya wafanyabiashara ikiendelea kama inavyoonekana pichani.
Wafanyabiara wa Mbezi Luis wakiendelea kuondoa vibanda vayaoo kama inavyoonekana pichani.
Kazi ikiendelea ya kuondowa vibanda.

PICHA ZOTE NA IMMANUEL MASAKA

No comments:

Post a Comment